Mfumo huu unakusaidia kusajili wateja, kutengeneza ankara za madeni, kufuatilia malipo, na kuona ripoti za madeni ya kila mteja.
Sajili mteja mpya kupitia sehemu ya Sajili Mteja.
Tengeneza ankara ya deni kwa kuchagua mteja husika.
Fuatilia madeni ya wateja kwenye ukurasa wa Madeni ya Wateja.
Ongeza malipo pale mteja anapolipa deni lake.
Tazama historia ya malipo na salio la kila ankara.